Kudhamini programu
Semina, makongamano na mafunzo kwa wanawake, vijana na wajasiriamali.
Ushirikiano na ufadhili
Mashirika, kampuni, taasisi za serikali na wadau wa maendeleo wanakaribishwa kushirikiana nasi katika programu za uwezeshaji wa wanawake, vijana na wajasiriamali.
Namna ya kushirikiana
Semina, makongamano na mafunzo kwa wanawake, vijana na wajasiriamali.
Wakufunzi, mentorship na maudhui ya elimu ya fedha, biashara na teknolojia.
Mifumo na zana zinazosaidia vikundi vya Vikoba na biashara ndogo, kama ushirikiano wetu na Kikoba Smart.
Nafasi za kazi, masoko na ushirikiano kwa vijana na wajasiriamali, pale zinapopatikana.
Kwa michango, udhamini au ufadhili wa programu, wasiliana nasi moja kwa moja. Tutakueleza mahitaji ya programu na namna ya kushirikiana.