Programu na huduma
Maarifa, ujuzi na fursa.
Programu saba zinazowasaidia wanawake, vijana na wajasiriamali. Zinatekelezwa hatua kwa hatua kulingana na rasilimali na uwezo wa taasisi.
01Uwezeshaji wa Wanawake na Vikoba
Elimu ya fedha, usimamizi wa Vikoba na maendeleo ya biashara kwa wanawake.
Soma zaidi
02Ujasiriamali na Maendeleo ya Biashara
Kuanzisha, kusimamia na kukuza biashara yenye kipato endelevu.
Soma zaidi
03Uwezeshaji wa Vijana
Ujuzi wa vitendo, kujiajiri na kutumia vipaji kujenga kipato.
Soma zaidi
04Elimu ya Fedha na Mikopo
Bajeti, akiba, mikopo na madeni: maamuzi bora ya kifedha.
Soma zaidi
05Teknolojia na Mabadiliko ya Kidijitali
Simu janja, mitandao ya kijamii na zana za kidijitali katika biashara na Vikoba.
Soma zaidi
06Kikoba Smart
Usimamizi wa vikundi vya Vikoba kwa teknolojia, kwa kushirikiana na mfumo wa Kikoba Smart.
Soma zaidi
07Mafunzo, Semina na Makongamano
Elimu na taarifa kwa wanajamii wengi kupitia semina na makongamano.
Soma zaidiUko tayari kuanza?
Tupigie simu au tutumie WhatsApp, au jaza fomu ya kujiunga. Tutakujulisha hatua inayofuata.
