Programu na huduma · 04
Elimu ya Fedha na Mikopo
Jamii Wezeshi Financial Literacy Programme

Lengo
Kujenga uelewa wa kifedha unaowasaidia watu kufanya maamuzi bora kuhusu akiba, matumizi, mikopo na uwekezaji katika biashara.
Huduma zinazolengwa
- Elimu ya kupanga bajeti
- Kutofautisha mapato, matumizi na faida
- Elimu kuhusu gharama za mikopo
- Uchambuzi wa uwezo wa kurejesha mkopo
- Elimu kuhusu madhara ya kukopa bila mpango
- Usimamizi wa madeni
- Kuweka akiba kwa malengo ya muda mfupi na mrefu
Walengwa
- Wanawake wa Vikoba
- Wajasiriamali wadogo
- Vijana wanaoanza kupata kipato
- Familia zinazotaka kuboresha usimamizi wa fedha
- Vikundi vinavyotaka kuimarisha usimamizi wa fedha
