Programu na huduma · 02

Ujasiriamali na Maendeleo ya Biashara

Jamii Wezeshi Entrepreneurship Programme

Timu ya Jamii Wezeshi ikijadiliana

Lengo

Kuwasaidia wajasiriamali kuanzisha, kusimamia na kukuza biashara zenye uwezo wa kuleta kipato endelevu.

Huduma zinazolengwa

  • Mafunzo ya kuanzisha biashara
  • Kuandaa mpango wa biashara
  • Usimamizi wa mapato, matumizi na faida
  • Uboreshaji wa bidhaa na vifungashio
  • Ujenzi wa chapa ya biashara (branding)
  • Huduma kwa wateja na mbinu za kuongeza mauzo
  • Matumizi ya mitandao ya kijamii kutafuta wateja

Walengwa

  • Wajasiriamali wadogo na wa kati
  • Watu wanaotaka kuanzisha biashara
  • Wamiliki wa maduka na biashara za nyumbani
  • Wazalishaji wa bidhaa na watoa huduma
  • Wanawake wanaotaka kupanua biashara zao