Programu na huduma · 07

Mafunzo, Semina na Makongamano

Jamii Wezeshi Community Learning Programme

Wakufunzi wakizungumza na washiriki

Lengo

Kuwafikia wanajamii wengi kwa kuwapatia elimu na taarifa zinazoweza kuwasaidia kuboresha maisha yao.

Huduma zinazolengwa

  • Semina za ujasiriamali
  • Makongamano ya uwezeshaji wa wanawake
  • Mafunzo ya vijana
  • Elimu ya fedha na mikopo
  • Mafunzo ya teknolojia
  • Majadiliano kuhusu changamoto na fursa za maendeleo ya jamii

Walengwa

  • Wanawake
  • Vijana
  • Wajasiriamali
  • Viongozi wa vikundi vya kijamii
  • Wadau wa maendeleo